NEW POST

Wednesday, December 9, 2020

NGIRI (HERNIA) CHANGA NA SUGU (ILIYOKOMAA)DALILI ZA NGIRI CHANGA/HERNIA KWA MWANAUME.

1. Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2. Kupiga mingurumo tumboni.

3. Kujaa gesi tumboni.

4. Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5. Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.

6. Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7. Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8. Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia  hupati nguvu tena mpaka kesho.

9. Nuru ya macho hupotea taratibu.

10. Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11. Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12. Kupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

13. Maumivu makali ya mgongo au kiuno

14. Uume kusinyaa na kunywea kama wa mtoto


DALILI ZA NGIRI [HERNIA] SUGU [ iliyo komaa]

1. kende[pumbu] moja au mbili kuvimba

2. kuvimba   Juu ya kinena kushoto au kulia 

3. kufanyiwa UPASUAJI wa  herbia mara 1

4. Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena

5. kende [pumbu] kupotea zote au moja

6. Kenda kujaa maji.

7. Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wwnye kujaa kama nyama

8. Kuwa na uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani

9. Kuwa na uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu.

10. Maumivu/Kusikia kichefuchefu/

؄؃؂

TIBA YA ASILI YA  NGIRI/HERNIA  BILA UPASUAJI


WASILIANA NASII

No comments:

Post a Comment