NEW POST

Friday, December 11, 2020

TIBA ASILI YA TATIZO LA KUDHOOFU MWILI NA KUWA NA MUONEKANO MZURI { SHAPE } KWA JINSIA ZOTE

Virutubisho vya asili vinavyo tibu kabisa tatizo la kudhoofu mwili na kuwa na muonekano [Shape] wenye siha nzuri nayakuvutia. Pia huupa nguvu mwili na kuurejesha katika hali yake ya kawaida pamoja na kuongeza uzito na muonekano pia Lishe hii ni ya asili kabisa [100% natural] isiyo na kemikali za viwandani wale kemikali za kuhifadhia 

 

VITU VINAVYOPELEKEA MWILI KUDHOOFU AU KUPOTEZA MUONEKANO [SHAPE] NZURI[1] Lishe duni
[2] Matatizo ya kushindwa kula ambayo hupelekewa na vitu vifuatavyo
(a)kutokua na hamu ya kula
(b)hofu ya kunenepa sana iwapo utakula sana hii inawasumbua sana wasichana wanao penda mambo ya urembo
(c)Matatizo ya kisaikolojia
[3] Matatizo ya mfumo wa homoni; kuna ugonjwa unaitwa hyperthroidism,
[4] Magonjwa ya utumbo wa chakula
[5] Ugonjwa wa kisukari;.
[6] Kurithi
[7] Magojwa kama,kisukari, Saratani na TB
[8] Matatizo kwenye tezi

MUHIMU☑

Uzito mdogo hupelekea Yafuatayo
[1] Kupoteza au kuharibika muonekano
[2] kukosa uwezo wa kujiamini
[3] Kushuka kinga ya mwili
[4] Uchovu
[5] Mwili kuishiwa nguvu
[6] Miguu kufa ganzi
[7] Nywele kudumaa na kudhoofika
Kwa ujumla huharibu muonekano kabisa pamoja na kushusha kinga ya mwili na kuugua mara kwa mara, kukosa hedhi, ugumba

MUHIMU☑

Kwa wale watakao bainika kuwa na uzito mkubwa kuliko kawaida/Minyama uzembe/ Kitambi baada ya vipimo vitakavyo husisha
[a] Umriwako 
[b] Urefu wako 
[c] Uzito wako 
[d] Ukubwa wa tumbo
Watapatiwa tiba maalumu yakupunguzo uzito na minyama uzembe
NATURALBIDOHA
CALL-TEXT [+255 757 945 601]

No comments:

Post a Comment