NEW POST

Thursday, March 11, 2021

TIBA YA UZITO, UNENE, KITAMBI, NYAMA UZEMBE ,MAFUTA MENGI MWILINI NA KUTOA SUMU

MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA NA MAFUTA MENGI MWILINI 

[1] Matatizo kwenye figo
[2] Uwepo wa michirizi
[3] Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
[4] Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji
[5] Kuharibu ini
[6] Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari,tatizo la presha na guot
[7] Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo
[8] Hupelekea kuleta shida kwenye mfumo wa ubongo
[9] Hupunguza kasi ya kuishi
[10] Huleta shida kwenye mmeng'enyo wa chakula
[11] Maumivu kwenye viungo kama vile magoti,kiuno nk
[12] Kuongeza kiwango cha mafuta


FAIDA ZA LISHE YA KUPUNGUZA MWILI

[1] Inaondoa kitambi cha mafuta.
[2] Inaondoa minyama uzembe.
[3] Inapunguza uzito
[4] Inaboresha mzunguko wa damu.
[5] Inazuia sukari isifyonzwe mwilini.
[6] Inaongeza uwezo wa mwili kuchoma mafuta
[7] Inazuia mafuta yasifyonzwe na kuhifadhiwa mwilini.
[9] Inaondoa hamu ya kupenda vitu vitamu
[10] Inazuia ubadilishwaji wa chakula cha wanga.
[11] Inayayusha mafuta yaliyoko mwilini
[12] Huzuia sukari isifyonzwe mwilini

NANI ANAPASWA KUTUMIA

[1] Wanaotaka kupunguza uzito
[2] Wanaotaka kuondoa kitambi
[3] Wanaotaka kuondoa minyama uzembe.
[4] Wanaotaka kupunguza mwili.

MUHIMU

Watu wengi wana uzito uliokithiri na wengine wana uzito wa chini kupita kawaida bila ya wao wenyewe kujua-

Naomba unitumie vipimo vifuatavyo ili niweze kukujuza kama una uzito wa sawa au ulio zidi.
[1] Umri wako
[2] Urefu wako
[3] Jinsia yako
[4] Ukubwa wa tumbo na kiuno

No comments:

Post a Comment