NEW POST

Tuesday, June 22, 2021

UGONJWA WA NGIRI NA TIBA YAKE YA ASILI


UGONJWA WA NGIRI-HERNIA NI NINI NA TIBA YAKE NI IPI ?


>>>TEMBELEA CHANNEL YETU YA YOUTUBE NA SUBSCRIBE KWA VIDEO ZA MAFUNZO YA TIBA MBALIMBALI BOFYA HII LINK<<<


--Ni kujitokeza kwa Organ ama tissue kupitia Tundu/uwazi/udhaifu usio wa   kawaida na kusababisha uvimbe katika katika Udhaifu ama tundu hilo.


--Mfano wa Organ ni kama Utumbo na Mfano wa Tissue ni kama Misuli hivyo basi Either Utumbo ama Msuli nk unaweza kujitokeza kupitia uwazi   huo kutokana na Mgandamizo kutokea ndan kuja nje na kusababisha   uvimbe eneo ya Udhaifu.


Ngiri hutokea wakati ambapo Organ ama tissue hujitokeza/hujisukuma kupita eneo dhaifu katika Msuli ama tissue onganishi (Connective tissue) izungukayo eneo hilo dhaifu iitwayo FASCIA


SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA NGIRI [KUJITOKEZA KWA ORGAN AMA TISSUE KUPITIA ENEO DHAIFU/TUNDU]


[1] Uzito kupita kiasi

[2] Tumbo kujaa maji

[3] Kujisaidia choo kigumu

[4] Kunyanyua vitu vizito

[5] Ujauzito

[6] Kikohozi sugu - Chronic Obstructive Pulmonary Disorder

[7] Kuumia kutokana na majeraha ya kawaida ama upasuaji

[8] Umri Mkubwa

[9] Uvutaji sigara

[10] Kurithi


DALILI ZA NGIRI CHANGA KWA WANAUME


[1] Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

[2] Kupiga mingurumo tumboni.

[3] Kujaa gesi tumboni.

[4] Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

[5] Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.

[6] Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

[7] Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

[8] Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia  hupati nguvu tena mpaka kesho.

[9] Nuru ya macho hupotea taratibu.

[10] Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

[11] Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.

[12] Kupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

[13] Maumivu makali ya mgongo au kiuno

[14] Uume kusinyaa na kunywea kama wa mtoto


DALILI ZA NGIRI - HERNIA - SUGU iliyo komaa


[1] kende(pumbu) moja au mbili kuvimba

[2] kuvimba   Juu ya kinena kushoto au kulia 

[3] kufanyiwa UPASUAJI wa  hernia 

[4] Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena

[5] kende - pumbu - kupotea zote au moja

[6] Kenda kujaa maji.

[7] Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wenye kujaa kama nyama

[8] Kuwa na uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani

[9] Kuwa na uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu.

[10] Maumivu/Kusikia kichefuchefu/


MTU MWENYE NGIRI - HERNIA - ANATAKIWA AEPUKE MAMBO HAYA KAMA ANA UGONJWA NA HATUMII DAWA AU WAKATI WA MATIBABU YA NGIRI/HERNIA PIA USITUMIE VITU VIFUATAVYO

>>Wali hasa pilau na matunda yenye ladha kali kama vile Embe,Nanasi,Fenesi

>>Vitu vinavyosababisha gesi kama vile Maharage, Mahindi, Pilipili, Karanga na vyakula vya Ngano

>>Epuka na acha kabisa kunywa soda za aina zote

>>Epuka vitu vya baridi na kiyoyozi, vilevile usioge maji ya baridi

>>Epuka kula sana na jiahidi kufunga mara kwa mara

>>Epuka kuwaza sana na kukasirika hovyohovyo

>>Penda kunywa maji mengi sana kila siku na pendelea mlo wako usikose matunda na mboga


TIBA YA ASILI YA NGIRI-HERNIA

Tatizo la Ngiri-Hernia linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za ngiri za awali na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa. DAWA YA NGIRI-HERNIA Tuna dawa ya kutibu Ngiri-Hernia ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.

Ni dawa inayotokana na mchanganyiko wa miti dawa mbali mbali maalumu kwaajili ya kutibu aina zote za ngiri kuanzia ngiri zenye uvimbe wenye kuonekana(Ngiri Sugu) na ngiri zenye uvimbe usioonekana (Ngiri changa),dawa hii inasaidia changamoto zifuatazo zitokanazo na ngiri:

>>Hutibu Kuvimba kwa korodan kutokana na ngiri iliyosababisha kuonekana kwa uvimbe.

>>Hutibu Uvimbe kwenye kinena utokanao na ngiri za kwenye kinena kama vile inguinal hernia na femoral hernia.

>>Hutibu ngiri ya kwenye kitovu inayosababisha maumivu chini ya kitovu.

>>Hutibu ngiri ya utumbo inayosababisha maumivu ya tumbo,tumbo kujaa gas na tumbo kuunguruma mara kwa mara.

>>Huondosha tatizo la kutopata choo vizuri-Constipation inayosababishwa na ngiri.

>>Hutibu tatzo la Uume kurudi ndan,kulegea na kusinyaa linalosababishwa na Ngiri.

>>Hutibu changamoto za nguvu za kiume zinazosababishwa na ngiri kama vile kuwahi kumaliza tendo la ndoa na kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo kwa wakati.

>>Hutibu Ngiri ya Kifua - hiatal hernia


Huna haja ya kufanya Upasuaji kutokana na changamoto ya Ngiri kwani dawa hii INA uwezo wa kutibu ngiri aina zote kwa hatua zake zote>>pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

TUPIGIE [CALL US] BOFYA NAMBA HII >>>0656302000


BOFYA NAMBA CHINI KUJA WHATSAPP INBOX

>>>0656302000

No comments:

Post a Comment