NEW POST

Monday, July 5, 2021

MIONGONI MWA MAMBO MUHIMU YAKUFANYA KURUDISHA NGUVU ZAKO ZA KIUME
MIONGONI MWA MAMBO MUHIMU YAKUFANYA KURUDISHA NGUVU ZAKO ZA KIUME !!


>>>YOUTUBE-BOFYA HII LINK KUTAZAMA VIDEO YOUTUBE<<<


Ukizungumzia nguvu za kiume ni ishu inayogusa sehemu kubwa ya wanaume kwa miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vyakula hovyo hovyo, uzito kupitiliza, magonjwa ya Kisukari/Presha pamoja na kujichua/kupiga punyeto hivyo ni baadhi ya vinavyowafanya wanaume wengi wawe goigoi kitandani.


Kitendo hiki cha wanaume kuwa goigoi kitandani huwafanya wanaume wengi kutowaamini wake/wapenzi wao kuwa wanaweza kwenda nje ya ndoa au kutafuta wanaume wenye nguvu za kuwaridhisha kitandani.

 

Leo tunakuletea vitu vichache vya kuvifanya ili uanze kuachana na huo ugoigoi na kisha urudishe mapenzi kwa mkeo/mpenzi wako.👇


>>PUNGUZA UZITO

Kama wewe una uzito mkubwa na tayari umeshaanza kuwa goigoi kitandani basi hakikisha unapunguza kwanza uzito wako/kitambi na nyamazembe kisha ndipo uanze kufikiria kurudisha nguvu za kiume.

Kitu cha kufanya hapa ni kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya vyakula vyote vyenye sukari, pombe na wanga.


>>TATUA TATIZO LA KISUKARI NA PRESHA KAMA UNALO

Kuna watu wana tatizo la Kisukari ambalo lina uhusiano mkubwa na kupunguza au kumaliza nguvu za kiume, ni vyema kulishughulikia ili likae vizuri kisha anza sasa kurudisha nguvu zako za kiume.


>>KUNYWA MAJI MENGI KWA SIKU

Hili lifanye endapo hauna uzito mkubwa na wala hauna Kisukari. Unywaji wa maji mengi kwa siku utafanya mzunguko wa damu uwe mzuri kiasi kwamba hata viungo vya uzazi vitapata msukumo mzuri wa damu na hivyo kufanya iwe rahisi kufanya kazi pindi vinapohitajika katika tendo la ndoa


>>TUMIA MIZIZI YA MLONGE

Hii pia ni tiba ya nguvu za kiume hasa kwa wale wanaowahi sana kufika kileleni. Hii pia tumia kujitibu endapo hauna tatizo la Kisukari na Kitambi. Kama una Kitambi au Kisukari basi tibu kwanza hayo matatizo ndipo urudi kuitumia mizizi hii.

Mizizi hii unaweza kuitengeneza unga wake ili kufanya iwe rahisi kutumia na kudumu nayo muda mwingi. Unga wa mizizi ya mlonge unaandaliwa kwa kusaga na kutwanga mizizi yake ikiwa mibichi. Hutakiwi kuikausha ndipo utengeneze unga. Matumizi ya unga huu ni kijiko kimoja kile cha chakula unachanganyia kwenye maji ya uvuguvugu ujazo wa glasi moja. Utakuwa unakunywa mara mbili kwa siku.


>>ACHA KABISA KUJICHUA

Kuna wanaume au vijana hawawezi kuridhika siku ipite bila kupiga punyeto. Hili huwamaliza kabisa kwani pindi wanapokutana na mwanamke basi huishia kufanya mara moja tu tena kwa taabu na tena ni vidakika vichache mno anakuwa ameshafika kileleni na kumuacha mke/mpenzi wake hajaridhika.

Kama una tabia hii ya KUJICHUA iache mara moja kama hupendi kuja kuaibika kwa mwanamke


kwa tiba za mradhi mbalimbali na ushauri wasiliana nasiTUPIGIE [CALL US] BOFYA NAMBA HII >>>0656302000


BOFYA NAMBA CHINI KUJA WHATSAPP INBOX

>>>0656302000

No comments:

Post a Comment