NEW POST

Saturday, August 21, 2021

TIBA RAHISI YA KUSIMAMISHA MATITI YALIYOLEGEA

 


 ANDAA VITU VIFUATAVYO


[1]  YAI

[2]  MAFUTA YA  ALIZETI

[3]  MAZIWA MTINDI


 

MAELEKEZO
   


 >>Yai moja 

 >>Mafuta ya alizeti robo lita

 >>Mtindi robo Lita 


MATUMIZI


Weka vyote katika chombo kimoja kisha koroga ichanganyike alafu tumia kupakaa kwanzia mwanzo wa matiti mpaka katika chuchu pakaa dakika 10 na kaa lisaa ndio unawe na maji safi ya kawaida na tumia kila siku mara moja na siku saba tu utaona matokeo na tumia mpaka saizi yako unayoipenda ya maziwa ndio uwache kutumia


 ONYO 


>>harusiwi kutumia mama mjamzito

>>harusiwi kutumia mama anayenyonyesha


Nitatoa tiba rahisi nyengine ya kusimamisha matiti kwa kutumia papai bichi, mafuta na vitamin E


ASANTE


TUPIGIE [CALL US] BOFYA NAMBA HII >>>0656302000


BOFYA NAMBA CHINI KUJA WHATSAPP INBOX

>>>0656302000No comments:

Post a Comment